ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 14, 2012

SHEREHE ZA UBATIZO WA DYVORA MENSAH YORK, PA

Mtoto Dyvora Mensah akiwa amebebwa na baba na mama wa ubatizo Mr & Mrs Walden katika sherehe iliyofanyika yake iliyofanyika Quality Inn York, Pennsylvania, nchini Marekani na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya PA.
Dyvora Mensah akiandaliwa kukata keki.
Dyvora akisaidiwa kukata keki mama wa ubatizo Bahati Walden
Dyvora akilimsha keki mama yake Olympia.
Dyvora akimlisha keki baba yake Mensah.
Dyvora akijilisha keki mwenyewe.
Dyvora akimlisha keki bibi yake mzaa baba
Kwa picha zaidi bonyeza read more

No comments: