natamani na mimi nikija kuolewa mume awe anajua kucheza ili nifanye sherehe yangu kama hii au zaidi ya hii na brother luka nitakualika niombe tu mungu nimpate huyo mume nitakaye ridhi kwake kwa sababu so far sijamuona bado yupo mbinguni nahisi . ahsante brother luka kwa kuweka hii harusi mtandaoni nimependa na nimepata idea hii ya harusi yangu mungu akipenda
1 comment:
natamani na mimi nikija kuolewa mume awe anajua kucheza ili nifanye sherehe yangu kama hii au zaidi ya hii na brother luka nitakualika niombe tu mungu nimpate huyo mume nitakaye ridhi kwake kwa sababu so far sijamuona bado yupo mbinguni nahisi .
ahsante brother luka kwa kuweka hii harusi mtandaoni nimependa na nimepata idea hii ya harusi yangu mungu akipenda
Post a Comment