ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 10, 2012

MAKUNDI YA MAHUJAJI KUELEKEA MAKA YAANZA KUONDOKA NCHINI.

Sheikh Muharrami Juma Doga akiwa na mahujaji wenzake kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mchana wa leo wakisubiri ndege ya shirika la ndege la ( Yemen ) kwaajili ya safari ya Hijja kwenye miji ya Makkah na Madina.

1 comment:

Anonymous said...

niobeni dua hupo muendapo ndugu zangu japo kuwa na mimi kila leo najiombea duaa sana tena sana mola azikubali dua zangu na zenu amin safari njema amin.

seattle washington