Dk. Shukuru Kawambwa Waziri wa Elimu wa Tanzania akilakiwa na Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili katika uwanh=ja wa ndege wa Kimataifa wa Dulles Washington DC. Aliembatana na Mhe.Kawambwa ni Kamishana wa Elimu katika Wizara ya Elimu Profesa Eaustelia Bhalalusesa.
Bw, Suleima Suleiman Saleh akisaliamiana na Profesa Eaustelia Bhalalusesa baada ya kutambulishwa nae na Mhe.Dk.Shukuru Kawambwa.
Waziri wa Elimu wa Tanzania Mhe. Dr. Shukuru Kawambwa(Mb.) awasili Washington DC kuhudhuria mkutano na viongozi wa Benki ya Dunia kujadili masuala mbali mbali ya kuboresha sekta ya Elimu nchini Tanzania.
kutoka kushoto ni Profesa Eaustelia Bhalalusesa, Dk. Shukuru Kawambwa Waziri wa Elimu wa Tanzania na Bw.Suleiman Saleh, Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC
Bw. Suleiman Saleh Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC akimpokea Mhe.Khamis Kagasheki (Mb.)Waziri wa Utalii na Mali Asili mara alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dulles kukutana na viongozi wa Wizara ya Wanyapori na Uvuvi wa Marekani. Mhe. James Lembeli(Mb.) Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA akisalimiana na Bw,Suleiman Saleh, Afisa wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC uwanja wa ndege wa Dulles Washington DC
Waziri Khamis Kagasheki awasili Washungton DC kukutana na Waziri wa Wanyapori na Uvuvi wa Marekani kujadili mashirikiano baina ya Tanzania na Marekani hasa katika kupambana na ujangili katika hifadhi za Wanyama za Tanzania.
No comments:
Post a Comment