ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 10, 2012

MWANAMITINDO WA KIMATAIFA, ASYA IDAROUS KHAMSIN KUFANYA ONYESHO LA MAVAZI DALLAS, TEXAS


Mwanamitindo mzoefu na wa kimataifa Asya Idarous Khamsin kufanya onyesho la mavazi katika mkutano wa East African Chamber Of Commerce utakaoanza kesho Alhamisi October 11- 13, 2012 Dallas, Texas. Asya Idarous Khamsin ambae ameingia Nchini Marekani leo akitokea Tanzania alikokua ameenda maalum kwa matayarisho ya Show hii ambayo itawajumuisha mabalozi wa Afrika mashariki waliopa hapa Marekani pia bila kumsahau Naibu katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Dr. Enos Bukuku aliyeingia Jumatatu October 8, 2012 akitokea Tanzania.


No comments: