NDOTO YA MCHANA NI BALAA KULIKO YA USIKU
Si vibaya kwa mtu akifariji kuwa anamiliki gari, kama hapa unapomuona mezee huyu mkazi wa Mwanjelwa mtaa wa Makunguru kata ya Ruanda akijipa faraja kwenye gari lililo juu ya mawe huku akipewa faraja na jirani yake.
1 comment:
wala usisema ni kweli kabisa ndoto ya mchana ni balaa kuliko ya usiku lakini mungu si athumani so one day yes atapata kaji mzee wetu au unaonaje tumchangiye sema luke tupitishe mchango kumnunulia gari na tumpe matumaini ya ndoto yake kuwa reality ya mchana
mdau Ny
Post a Comment