ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

ARUSHA SASA KUITWA JIJI

Alama ya mnara wa mashujaa Arusha ni alama ambayo uashiria kuwa Arusha ni jiji la kihistoria na unastaiki kuitwa jiji, November 1 ndiyo siku ambayo Arusha imetunukiwa hazi hiyo ya kuwa jiji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika shamrashamra za kulizindua rasmi jiji la Arusha Novemba 1, 2012 ambapo maelfu ya wakaazi wa jiji hilo walijitokeza kumlaki na kumshangilia katika hafla hiyo iliyoambatana pia na uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji hilo. Sherehe hizo za kihistoria zilifanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Picha juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa \Wilaya ya Arusha Mhe John Mongella kuzindua ujenzi wa barabara za jiji la Arusha




PICHA NA IKULU

No comments: