ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

BAADA YA HURRICANE SANDY UPATIKANAJI WA MAFUTA NI KIZAAZAA NEW YORK CITY

 Watu wakiwa wamepanga foleni na vidumu hili wakanunue mafuta ya gari, Magari yao wamepark ili kuepuka foleni. Ni hali iliyo kwa sasa NYC baada ya hurricane sandy. Polisi walihitajika kufanya kazi ya ziada kuongoza line hizo za kuelekea moja ya vituo vya kununua mafuta NYC.
 Kama unavyojionea katika picha magari yakiwa kwenye foleni ya kuelekea kituo cha mafuta kujipatia mafuta ya gari zao.
Ni foleni yakuelekea kituo cha mafuta polisi wakifanya kazi ya kuongoza foleni hizo ili ziweze kwenda kwa utaratibu bila kusababisha usumbufu kituoni hapo.

No comments: