ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 24, 2012

CHRIS BROW NA RIHANNA WALA BATA WA SHUKURANI, UJERUMANI


Chris Brown na Rihanna wakiwa kwenye Club moja wapo Berlin nchini Ujerumani, Rihanna aliruka Jumatano kuelekea Berlin ambapo Chris Brown alikua na show na baada ya hapo walijimwaga maklabu kusherehekea Bata wa shukurani (thanksgiving)

No comments: