Mwalimu Mwakasege akiwasalimia watu mbalimbali waliofika Hilton Hotel iliyopo Greenbelt Maryland ambapo leo Jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi (8am ET) Semina itaanza rasmi na kurushwa Live na Blog ya Vijimambo kutokea hapo hotelini.
Dr. Niku akiongea machache na kutoa neno la Mungu alipokaribishwa rasmi kujitamburisha
Juu na chini ni utaratibu wa kujiandikisha kabla ya kuingia kwenye semina picha juu Jacob akijiandikisha huku kushoto Mrs Semiti akifuatilia kitu.
Mwanamuziki aitwae Catherine akijiandikisha
Mwalimu Mwakasege akiwa amekaa baada ya kuingia ukumbini kushoto ni kiongozi Jackson Mollel kutoka Minnesota.
Juu na chini ni vikundi na waimbaji mbalimbali wakiimba nyimbo za injili kwenye ufunguzi wa semina hiyo.
Juu na chini ni watu mbalimbali waliofika kwenye ufunguzi wa semina hii waliotokea kila kona ya Amerika
Kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment