Kitunguu saumu na Tangawizi ndio bidhaa anazouza kijana nje ya soko la Kariakoo. |
Embe kwenye baiskeli zinauzwa buku....lakini sokoni kwenyewe hata 300 unapata,uzuri matunda ya Tanzania yana ladha nzuri sana na ya kipekee. |
Baada ya kufanya mazungumzo nao wengi wao hawajui kanuni na taratibu za kufanya biashara, taratibu za usafi na taratibu za kupata maeneo.
Vijana hawa wanahitaji msaada wa kupewa elimu ya biashara hasa zinazohusu afya za binadamu moja kwa moja na pia wasaidiwe wapate eneo la biashara jingine waweze kutanua wigo wa biashara zao ikiwezekana walipe ushuru kuongeza pato la Taifa.
No comments:
Post a Comment