ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 26, 2012

Christmas na Mwaka mpya ndani ya Penguin Resort Hotel - Arusha

 Hotel Main bldg
 Hotel Main entrance.
Hotel Reception
Karibuni Penguin Resort Hotel kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka ikiwa ni sikukuu ya Christmas au mwaka mpya au siku nyingine yeyote,tuna vyumba vizuri na vikubwa,eneo kubwa na salama la parking,maji moto,internet.Tuna vyakula mchanganyiko  vya kitanzania na vya kigeni.Hoteli ipo Sakina jirani na Sakina Supermarket,barabara ya Nairobi/Moshi. Kumbuka hoteli ni mpya kabisa.Tuna punguzo kubwa.
Karibuni wote Penguin Resort Hotel.!

Mawasiliano
Simu +255 27 2547711
Simu +255713 260027 / +255784 827466

No comments: