Bi harusi akila poz
Bwana na Bibi Chabaka baada ya kufunga ndoa
Familia mpya ya Mr & Mrs Chabaka Kilumanga
Maharusi katika picha ya pamoja upande wa familia. Kutoka Kulia ni Mama wa Bwana harusi Kilumanga, Maharusi, Mama Irene na Dada wa bwana Harusi Marium
Maharusi wakifungua mzik
Maharusi wakikabidhiwa cheti cha ndoa
Mh Chabaka akimlisha mkewe Irene keki
Wakati wa kuvishana pete
Wanandoa wapya Mr & Mrs Kilumanga
Urban Pulse Creative inawaletea taswira ya harusi ya Mh Naibu balozi wetu wa Uingereza Chabaka Kilumanga aliefunga ndoa rasmi na mchumba wake Irene Joel siku ya jumamosi tarehe 24.11.12 hapa jijini London. Ndugu, jamaa na warafiki walihudhuria sherehe hii ambayo ilifana sana.
Tunapenda kuwatakia kila la kheri katika safari yao mpya walioianza katika maisha ya ndoa.
Mungu azidi kuwabariki,
Asanteni.
Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment