Dk.Hussein Mwinyi,Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Mwanaidi Maajar,Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani.
Mhe.Hussein Mwinyi akiwa katika piaha ya pamoja na Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Bibi Lily Munanka,Mkuu wa Utawala wa Ubalozi.
Mhe.Dk.Hussein Mwinyi(Mb.),Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Marekani leo hii ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC. Dk.Mwinyi akikaribishwa Ubalozini Tanzania House na Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bw.Suleiman Saleh.
No comments:
Post a Comment