Nyota wa Bongo fleva Ambwene Yessayah 'AY' kupitia XXL jana aliitambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Money' ambayo ndani yake ameonyesha uwezo mkubwa wa kuchana akikumbushia Enzi zake wakati anatoka na staili kama hizo hii ndiyo interview yake kupitia XXL (BONYEZA PLAY KUISIKIZA ZAIDI)
No comments:
Post a Comment