Nia ni kuwakumbuka Marehemu wetu.
Saa 8:00 Mchana. Liwe liwalo tujitahidi kuhushiriki.
Nitaomba Yeyote anayetaka Marehemu wake au wa Familia yake au Ni rafiki yake etc. akumbukwe kwenye Misa hiyo anitumie jina, Umri na Jinsia. Hii itanisaidia kuwapangilia na kuweza kusoma majina yao kwa utaratibu ninaoupanga.
Mahali:- St. Edward R.C. Ch
urch,
urch,
901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Baada ya Misa tutakuwa na viburudisho katika Ukumbi wa Parokia 2848 W. Lafayette Avenue, Baltimore, MD 21216.
Kuegesha Magari itakuwa: Parking ya Shule ya Alexander Hamilton, Mbele ya Kanisa, Parking yetu ndogo on Prospect Street na maeneo kuzunguka kanisa.
Karibuni wote. Tafadhali Mjulishe yeyote unayejua anapenda kujiunga nasi.
Weka Alama kwenye Kalenda yako. Misa Ya kufunga mwaka huu itakuwa Decemba 9 Kuadhimisha Uhuru wa Taifa letu. Huenda wenzetu Kenya wakajiunga nasi kwani Uhuru wa Nchi yao ni Decemba 12, 2012.
KARIBU - KARIBUNI SANA.
Pd. Shao
No comments:
Post a Comment