Watanzania
waishio UK mnaombwa kushirikiana kwa kuhudhuria hafla fupi ya kujitolea
(harambee) kwa ajili ya kusaidia shughuli za usafirishaji na maziko ya
watanzania wenzetu (Fredrick Mtoi na Mariagoreth Ndagio) vilivyotokea London na
Luton.
Muda: Saa 11 jioni.
Siku: Alhamisi, 29 Nov.
Mahali: Tanzania High C omission UK
3
Stratford Place Marylebone
WC1 1AS. London
Ushirikiano
wako ndiyo mafanikio ya shughuli hii muhimu. Kama hutaweza kuhudhuria tafadhali
tuma mchango wako kwenye account ya Jumuiya:
TA
(Tanzania Association)
HSBC
Sort Code: 40 05 26
A/C: 41 22 96 72
Jumla
ya mchango utakaopatikana utagawanywa sawa kwa wahusika wa pande zote mbili.
Iwapo ungependa mchango wako uelekezwe kwenye familia mojawapo tu, tafadhali
bainisha kwa kuambatanisha ujumbe (simple note).
Asanteni
kwa ushirikiano wenu
Tanzania
National Associations (TANZ) UK
No comments:
Post a Comment