Mgogoro kati ya wakulima na wafugaji umefikia muafaka
Mgogoro wa jamii ya wafugaji na wakulima wa vijiji vitano vya Mwanzugi, Makomelo, Mgongolo, Mwalala na Migazi uliodumu zaidi yamiaka minane umefikia muafaka baada ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Igunga kusuluhisha
No comments:
Post a Comment