ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 20, 2025

TAZAMA HAPA WAGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI ZA KITAIGA ZA CHADEMA, MBOWE ATOA NENO BARAZA KUU

  Baraza kuu la Chama katika kikao chake kilichofanyoka katika ukumbi wa Mlimani city leo tarehe 20 Januari,2025 limefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za kitaifa .



Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akihutubia Baraza Kuu la Chama leo tarehe 20 Januari 2025, Mlimani City Dar es salaam.




Baraza Kuu la Chama limeketi leo tarehe 20 Januari 2025 katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam, ajenda kuu ikiwa ni maandalizi ya Mkutano Mkuu kesho tarehe 21 Januari 2025.


No comments: