Nia ni kumshukuru Mungu kwa baraka za mwaka mzima na kuliombea taifa letu, tukiadhimisha Siku ya Uhuru Wetu.
Saa 8:00 Mchana Misa itaanza. Tafadhali tujitahidi kuwahi ili tuanze na kumaliza kwa wakati. Tunajua giza linaingia mapema siku hizi.
Mahali:- St. Edward R.C. Church,
901 Poplar Grove St.
Baltimore, MD 21216
Baada ya Misa tutakuwa na viburudisho katika Ukumbi wa Parokia 2848 W. Lafayette Avenue, Baltimore, MD 21216.
Kuegesha Magari itakuwa: Parking ya Shule ya Alexander Hamilton, Mbele ya Kanisa, Parking yetu ndogo on Prospect Street na maeneo kuzunguka kanisa.
Karibuni wote. Tafadhali Mjulishe yeyote unayejua anapenda kujiunga nasi.
KARIBU / KARIBUNI SANA.
Jibu kwa E-mail au kwa Simu 443-827-9741
Wasiliana pia na hawa wafuatao kwa maelezo zaidi.
Pius na Juster - 301-404-6529
Baraka Daudi - 301-792-8562
Julie Sarwat - 301-648-8232
Gervas Wambura - 301-233-4447
Happiness Marunda - 301-461-6030
Pd. Shao
No comments:
Post a Comment