ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 25, 2012

MA WINNY CASEY AUNG'ARISHA USIKU WA MITINDO NITE 3CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND


Kwa picha zaidi bofya read more



2 comments:

Anonymous said...

walipendeza it was a nice show....but daym the girl with the red shorts killed the whole shoe ..with the other ethiopian goirl.walikuwa na confinency

great job..

Anonymous said...

Was goood mannnnn,nimependa ma winny alivyotaja nchi mbalimbali vazi lao linatambulikanaje,yaanimtu akivaa tuu unajua huyu muethiopia huyu mgana huyu (whatever)but sisi je???KANGAAAAAAAA!tudumisheni mila yetu ya kanga,kanga,hongera sana ma winny kanga ina maana nyingi sana kwa utamaduni wetu,huoni hata mtu akiolewa anapewa sanduku zima la kanga?hamjiulizi hapo wadau?.Mdau wa hapo juu nakubali binti mwenye red short alikua mwaaaah,si Maggie Muntali yule?mbongo mwenzetu wa hapa MD?kwani humjui?na anapeperusha bendera ya Tanzania kuwania Miss Africa USA hapa ugaibuni jumamosi hii ukumbi uleule,tafadhali uje na wabongo waliokua na nafasi siku hiyo tafadhali mkijaaliwa tuwe sote kumsupport dada yetu.Asante sana Lukejoe kwa habari motomoto.