ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 25, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK CITY SUNDAY

Temba Engineering Service ilipata nafasi ya kuhudhuria NY Greater Dental Meeting 2012 iliyofanyika Javit Center New York City, hapa C.E.O wa T.E.S akipata ukoda na Engineer mwenzake aliekutana nae katika meeting hiyo. Engineer huyo udesign 
Dental Air Compressors-Oil Free Air kutoka Alabama.
 Hapa Engineer Temba akipata Maelezo juu ya ubaro wa machine hizo
 Engineer Temba yupo makini kusikiliza ujuzi na anakuwa mbioni kuufanyia kazi kwenye workshop yake. Sehemu hii ikukutanisha maengineer kutoka sehemu mbalimbali hapa na Nje ya Marekani.
 Mr Nyagaly alie chini ya T.E.S akipata ukodak katika moja ya machine hizo baada ya kupata maelezo ya juu ya ubora wake.

No comments: