Msanii wa filamu na vichekesho wa Bongo Sharo Milionea hatuane tena R.I.P.
Sharo Milionea enzi ya uhai wake
Habari tulizozipata sasa hivi zinasema mwanamuziki wa bongo flava Sharo Milionea amefariki dunia kwa ajali ya gari alipokua akitokea Tanga habari zaidi tutawajulisha baadae
sikiliza moja ya nyimbo zake zilizotamba.
No comments:
Post a Comment