Mwalimu Mwakasege akitoa mafundisho yake Jumapili November 25, 2012 ambayo ilikua siku ya mwisho ya mafundisho yake.
Janet Mburu kutoka Minnesota akishukuriwa kwa kulisha watu wote waliohudhuria semina ya Mwakasege kwa siku tatu kwa gharama zake mwenyewe na kwa kipindi chote cha mikutano ya Mana ministries amekua akifanya hivyo na anayemtambulisha ni Jackson Mollel kiongozi wa Mana ministries Marekani.
Mwalimu Mwakasege akiombea watu waliofika kwenye mafundisho yake.
Watu waliokuja mbele kwa ajili ya kuombewa wakifuatilia maombi ya mwalimu Mwakasege.
Juu na chini ni Wagonjwa mbalimbali waliombewa na mwalimu Mwakasege.
Dj Luke a.k.a Mpwa akipata baraka kutoka kwa mwalimu Mwakasege kwa alvyosaidia kurusha Live semina ya mwalimu. kwenye kinanda ni Samsom na kulia ni Jackson Mollel wakiangalia.
Magoha akiwaaga wanaMana Ministries wa Marekani kwa safari yake ya kurudi Tanzania kimoja
1 comment:
Jamani i hope DJ luke nae angeombewa.anahitaji maombi mazito ,.ila mwenyewe ajui. dalili nzuri siku hizi anaenda kanisani.
Post a Comment