ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

Shirika la Ndege Tanzania ATCL yapata ndege ya pili.

Abiria wakipanda ndege kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam kwenda Mwanza. 
Abiria wakipanda ndege kwenye Uwanja wa Mwanza kwenda Dar es Salaam.  Abiria wakishuka katika ndege Uwanja wa Mwanza

No comments: