Mapacha wa P Square (waliovaa ‘jeans’ na miwani) na madansa wao, wakilishambulia jukwaa.
Dullayo akifanya viti vyake.
…Akiwapelekesha puta mashabiki.
Kala Jeremiah akitoa burudani.
… Akipambiza usanii wake.
Mashabiki wakimshangilia Kala (hayupo pichani).
Kwa picha zaidi bofya read more
Mashabiki waliokuwa wamafurika ukumbini.
Rich Mavoko akionyesha cheche zake.
Tano Bora wa shindano la The Mic King wakiwa pamoja
Stamina akiwatuliza mzuka mashabiki.
…Akiwachombeza kwa staili.
Fid Q ‘Ngosha’ akikamua.
…Akiwa na Stamina.
Wanenguaji wa ‘Twanga’ wakionyesha ‘matindo’ wakiwa chini.
Nyuso za burudani zilizokuwa zimefurika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
WASANII wa nguvu nchini wakiwemo Fid Q, Rich Mavoko, Dulayo, Kala Jeremiah, Stamina, bendi ya ‘Twanga Pepeta’, na mchuano wa wasanii wa muziki wa kufoka wa The Mic King waliwapagawisha maelfu ya wapenzi wa burudani waliofika katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
No comments:
Post a Comment