WAZEE WA KAZI
TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK
UTAWALA WA SERENGETI FREIGHT UNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUWA TUTAANZISHA MFUKO MAALUMU KWA AJILI YA DHARURA NA SHUGHULI MBALI MBALI ZINAZOIGUSA JAMII YA WATANZANIA WAISHIO UK
SISI KAMA SERENGETI TUTATOA ASILIMIA TANO YA FAIDA ITAKAYOPATIKANA KATIKA BIASHARA YETU NA KUZIWEKA HIZO HELA KWENYE HUO MFUKO.
HELA HIZI ZITAKUWA ZINAWEKWA KWENYE HUO MFUKO KILA MWISHO WA MWEZI
TUNAOMBA USHAURI KUTOKA KWA MTU YOYOTE MWENYE MAWAZO NI JINSI GANI HUU MFUKO UTUNZWE NA USIMAMIWE NA NANI.
Please Note; PESA ZA KUJENGA MFUKO HUU ZITATOLEWA NA SERENGETI TU, HAKUNA MTU ATAKAYECHANGISHWA , TUMEAMUA KURUDISHA KAMA SHUKURANI KWA MCHANGO WENU KWA BIASHARA YETU.
MFUKO HUU NI KWA AJILI YA WOTE, BORA TU UWE MTANZANIA
TAFADHALI TUNAOMBA MCHANGO WENU WA MAWAZO KWA KUTUANDIKIA EMAIL AU KUTUPIGIA SIMU KWENYE NAMBA HIZI HAPA CHINI
CHRIS LUKOSI & 07404279633
SIMON LOUIS (MOHSIN)
HQ - UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
AHSANTENI
CHRIS LUKOSI
DIRECTOR
No comments:
Post a Comment