Mtazamo wa Mamlaka hiyo ukiwa ni kuwa karibu na walipa kodi kwa kwa kutoa hudumia kwenye jamii na kuamsha moyo wa kujitolea katika huduma za kijamii na kukumbusha umuhimu wa uhiyari wa kulipa kodi bila shuruti!!!!
Wafanyakazi wa TRA Mbeya wakifanya usafi stendi kuu ya mabasi Mjini Mbeya wakiongozwa na Anold Maimu ambaye ni meneja wa TRA Mkoa humo,
Wafanyakazi wa TRA mkoani Mbeya wakiendelea na usafi stendi kuu ya mabasi mjini Mbeya huku wakiongozwa na meneja wa TRA mkoani humo, Bwn. Anold Maimu.
Wafanyakazi wa TRA Mbeya wakiwa maeneo ya Stendi kuu mjini Mbeya wakiendelea na usafi huku wakiongozwa na Anold Maimu ambae ni meneja wa TRA nkoani humo.
Tolori likipelekwa kumwagwa taka ili usafi uendelee.
Wafanyakazi wa TRA Mbeya wakiendelea na usafi kwenye stendi kuu ya mabasi mjini Mbeya
Usafi ukiendelea
Wananchi wakiangalia wakati wafanyakazi wa TRA Mbeya wakifanya usafi stendi kuu mjini Mbeya wakiongozwa na meneja wa TRA mkoni humo, Bwn. Anold Maimu.
Usafi ukiwa umekamilika kama unavyoona
Wafanyakazi wa TRA Mbeya wakiwa wamemaliza kufanya usafi kwenye stendi kuu mjini Mbeya.
Habari na Picha kwa hisani ya Image Profession.
1 comment:
wote wanavitambi naona harufu ya rushwa
Post a Comment