ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 1, 2012

SUSAN RUGANO KITCHEN PARTY NUMBER TWO FROM BIRMINGHAM, AL

 Chumba ambacho Susan alicho kuwa ameandaliwa siku hiyo kwaajili ya kujiandaa kabla ya kuingia ukumbini
Kitanda kikiwa kimepambwa kwa rangi nyekundu na nyeupe 
Cake iliyotumia siku hiyo kwa ajili ya Susan Rugano
Susan Rugano akiwa amepozi kupata ukodak wakumbukumbu siku hiyo ya kitchen party
Mambo ya mduara hayo akina mama wakiselebuka ukumbini hapo, kwa picha zaidi bofya read more

No comments: