ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 23, 2012

"TUZO ZA RFA ZIMENIPA JINA KIMATAIFA"...DITTO

Habari mpya kutoka kwa msanii huyu baada ya kushiriki tuzo za RFA, aliweza kuchonga na mwandishi na akafunguka na kusema tuzo hizi zimemfanya ajulikane kimataifa kwani alijikuta akipigiwa simu tofauti na watu mbalimbali kuhusiana na ngoma yake inayojulikana kwa jina la Niamini.
“Pia nilikuwa napata simu nyingi huku wengine wakiomba nifanye nao kazi, kupitia tuzo hizo kwa namna moja au nyingine naanza kuona mafanikio yanakuja na siku za usoni nitaweza kuipeperusha bendera ya Tzee kimataifa kupitia muziki wangu”

No comments: