Saturday, December 29, 2012

HARUSI YA STEPHANO NA ACHOTTO, ST ALBAN, TANZANIA

Juu na chini ni Stephano na Achoto wakazi wa Maryland wakiwa kanisa la St Alban, Dar Es Salaam Tanzania wakifunga ndoa picha zaidi baadae

Photo
Stephano na Achotto wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe Coral Beach kusherehekea harusi yao baada ya kufunga ndoa St Alban Jijini Dar Es Salaam, Tanzania

No comments: