Tuesday, December 4, 2012

MUHAMED SEIF KHATIB AKABIDHIWA RASMI OFISI, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto) wakisaini hati za makabidhiano na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Asha Abdalaah Juma (katikati).
Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto) na Asha Abdalaah Juma wakikabidhiana hati.

KATIBU wa NEC, Oganaizesheni, Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto) akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Asha Abdalaah Juma, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments: