Thursday, December 6, 2012

PICHA ZA HOUSE PARTY NEW YORK

 House party hii ilifanyika Brooklyn, NY palikuwa apatoshi music ulikuwa unaporomoshwa na Dj Bilal, watu walijirusha kwa chakula na vinywaji na music wa nguvu. Adela na Doreen ndo walikuwa waanzaaji wasimamizi wakuu wa shughuri hiyo ongera sana Adela na Brenda.Hapa chini pata picha ya matukeo yote yaliyo kuwa yamejiri siku hiyo.
 Warembo wakiwajibika vilivyo kwa mirindimo ya kutoka kwa Dj Bilal.
 Warembo walipendeza kama kawaida kwani New York ndo mpango mzima wa swagger kumekucha.
 Kwa picha zaidi bofya (read more)

 Music ukiingia kichwani hadi macho unafumba kama unavyo ona mrembo akijiachia kivyake
 Hapa ni mshike mshike tu akuna alie kuwa amekaa siku hiyo Dj alifanya vitu vyake badika bandua hadi kumepambazuka
 Music ukikorea unajkuta mikono juu ukianza mwili ufanye kazi yako na mdomo unaachia kwa sauti ukipiga nduru bila kujielewa kama unavyo ona katika picha.
 Jamaa wapembeni ndo alichemsha kulia kabisa alivaa kaunda suti kwenye pati sasa sijuhi ndo swagger hizo 
 Dj mambo yalikolea akajichoma katikati na kujimwaga kwa miondoko ya kizawiza kama unavyoona aliacha machine ikijiendesha yenyewe.
 Huyo ndo Small Jobiso wa New York ni mmmmmmmbayaaaa kama unavyoona kaachiwa ulingo akitoa style zake za kibajaji safi sana kijana, anavyokuwepo huyu basi hakuna kulala.
Dj Bilal akifunga mashine zake baada ya kuwarusha wana New York siku hiyo, safi Dj 

No comments: