ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 21, 2013

Hotuba ya Balozi Mhe. Mwanaidi Maajar alipowaaga wanajumuiya wa DMV

Hotuba ya Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar kwa wana Jumuiya ya Tanzania DMV (Washington DC, Maryland na Virginia) Siku ya Jumapili Jan 20, 2013 hapa College Park, jimbo la Maryland nchini Marekani.
Hii ilikuwa ni siku maalum ambayo Jumuiya hiyo ilimuaga rasmi katika wadhifa wake wa Ubalozi.
Karibu umsikilize.

No comments: