ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 22, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Kijiwe from Luke Joe on Vimeo.

4 comments:

Anonymous said...

hii kitu nzuri sana kwa sababu watu wengi wameshapitia hayo mambo.je itakuwa watu tofauti tofauti au ni hawa hawa?itapendeza sana ikiwa kutakuwa na watu tofauti kila wakati wa kipindi.Mdau DC

Baraka Daudi said...

Yasin,Benja,Jabir-bravo bravo bravo. Wazee mambo safi sana,kwa kweli ndugu zangu nyinyi ni viboko. Kwa kweli nimefurahi sana,naomba muendelee kupata vitu vingine.

baraka daudi said...

Benja,Jabir,Yasin-bravo bravo bravo,ndugu zangu kazi nzuri sana sana. Kwa kweli hapa nilipo nimevunja mbavu mbili kwa kucheka!!!! You guys are number one,naomba muendele kutuletea hivi vitu kila siku.Kaka Luke kazi nzuri ya kipindi hicho. Hongereni sana na endeleeni na kazi nzuri

Anonymous said...

Hii ni nzuri sana, hawa watu wamejitolea hasa kuelezea hali halisi ya maisha ya nje.Itakuwa vizuri kama wataendelea na sehemu ya pili. Mana sio wote waishio nje wanaweza kuweka wazi kama hawa walivyojielezea. Wengi wanaficha hawasemi ukweli wa maisha ya nje, na wengine wanadanganya. Endeleeni kutupa hali halisi ya maisha kwa wenzetu. Na kwa sasa mnafanya kazi zipi? hope mme advance kwenye kazi zenu. Hongera mtayarishaji wa hiki kipindi. Tunasubiria sehemu ya pili.