ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 22, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UFARANSA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa, Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa Rais wa Seneti ya Ufaransa, Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiongea na Rais Mstaafu wa Ufaransa, Mhe. Valery Giscard d'Estaing na ujumbe wake katika hafla ya chakula cha usiku alichoandaa Rais huyo Mstaafu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tanzania Wildlife Foundation jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia duniani HH The Aga Khan alipomtembelea Hotel le Meurice jijini Paris.

(PICHA NA IKULU)

No comments: