VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKISHUHUDIA UJIO WA SAFARI ZA KWANZA ZA PRECISION AIR MKOANI MBEYA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE.
KIKUNDI CHA NGOMA KIKITUMBUIZA MUDA MCHACHE BAADA YA NDEGE KUWASILI
KILA MWANDISHI ANAJITAJIDI KUPATA PICHA NZURI YA NDEGE
WAFANYAKAZI WA PRECISION AIR WAKIWA WAMEPENDEZA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA
BURUDANI BADO INAENDELEA HAPA
VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKIWA WANATAZAMA KWA UMAKINI NGOMA YA ASILI IKITUMBUIZA
HII NI MEZA KUU
NAO WAKAZI WA SONGWE MKOANI MBEYA WAMEFIKA UWANJA WA NDEGE KUSHUHUDIA JINSI NDEGE YA SHIRIKA LA PRECISION AIR ILIPO TUA ENEO HILO.
MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHESHIMIWA NORMAN SIGALA, AKIONGEA MUDA BAADA YA NDEGE KUWASILI
MKURUGENZI MTENDAJI WA PRECISION AIR NDUGU SHIRIMA AKIONGEA NA WAGENI WAALIKWA PAMOJA NA WANANCHI WALIO JITOKEZA KATIKA KUPOKEA NDEGE HIYO AMBAYO INAANZA SAFARI ZAKE ZA KWANZA MKOANI MBEYA NA KUWASHUKURU KWA MAPOKEZI HAYO.
No comments:
Post a Comment