ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 18, 2013

FID Q KWENYE TAMASHA LA WAZI LA PROMOTION YA AIRTEL CHALINZE

Hapa Fid Q akiwapa hip hop darasa wapenzi wa music wake katika tamasha la promotion ya airtel lililo fanyika Chalinze.
Wapenzi wa hip pop wa Chalinze wakinyoosha mikono juu kuhashiria kukubari mistari ya nguri huyo wa hip hop darasa Tanzania.
Palikuwa hapatoshi Chalinze siku hiyo.









Hapa Fid Q akipata ukodak na Ney wa Mitego.......!!!
Fid Q alivutia na dogo jinsi alipiga pamba kwa style yake na kuamua kupata okodak nae uko Chalinze baada ya tamasha.

3 comments:

Anonymous said...

haya haya watoto wanavaa kiwanajeshi kuwa act watu wa majuu wenzenu huku majuu wamechatuka kikweli kweli maisha yanawachanganya wazimu wazimu mtupu sasa nyinyi mmepoa huko mnajichatua bado wadogo shauri zenu kila kiingiacho mjini si dhahabu au cha kuiga


los angeles

Anonymous said...

I am trying to think ni mzazi gani anayempenda mtoto wake amwach avae pants chini kiasi hiki? This is not even funny...mpaka watoto wenzake wameachwa mdomo wazi. What a shame!!!!

Anonymous said...

believe me or not not only mzazi anamuachia mtoto avae hivi hata na yeye mzazi anakuwa hivi eti kwenda na wakati, wengejua tu historia ya kuvaa suruali kweli makalio wange isii kinyaa wanaovyaa ni ujinga tu na ukosefu wa elimu au labda mtu unachanganyikiwa na kujiona mjanja wa mtaani kumbe wapi

inasikitisha sana wazazi ndo wanao waharibu watoto hivi sasa tena watoto wa kiume kuwadekeza kupita kiasi