FBI wametoaVideo na picha kama unavyoona za watu wawili wanaohisiwa kulipua milipuko kwenye Boston Marathon, katika taarifa hiyo ya FBI wamesema video inawaonyesha vijana wawili waliokua wamebeba magebi yanayosadikiwa kuwa na mabomu yaliyolipuka na kuuwa watu wa 3 na kujeruhi wengine 179.
No comments:
Post a Comment