Katika kati ya jiji la bongo maeneo ya roundabout ya uhuru kariakoo
Kama kawaida watu wakijishughulisha na pembezoni mwa barabara kwa kufanya biashara hili kujipatia riziki ya kila siku.
Barabara tambarare maeneo ya jangwani kwa mbali unaweza kuona makao makuu ya club ya Dar Yanga African....
1 comment:
Onyesha hiyo barabara yote km unaenda kigogo, acheni siasa za kizamani, ukionyesha kitu onyesha chote watu wapate kujua kazi kama imefanyika au kuna ubabaishaji
Post a Comment