ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 14, 2013

IDDI SANDALY AELEZEA DARASA LA KISWAHILI, DMV, WATOTO NAO WAONYESHA MUELEKEO MZURI, WASIKILIZE


Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV alielezea Darasa la lugha ya Kiswahili linavyoendelea wakiwemo wanafunzi wakionyesha uwezo wao na walichajifunza kwa wiki nne. WASIKILIZE

1 comment:

Anonymous said...

Impressive! Mwalimu, you are the best, deserve it all.