Juu na chini ni MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe leo Jumapili alikwenda kumpa pole Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA), Deogratias Munishi kutokana na msiba baba yake mzazi, Mzee Ephraimu Sabinus Munishi. Kiongozi huyo alifika kuijulia hali familia ya marehemu eneo la Sinza Uzuri, Dar es Salaam, jana. Mazishi ya marehemu Munishi yanatarajiwa kufanyika Kilimashuku, Maili Sita, Moshi, Jumaane wiki ijayo.
No comments:
Post a Comment