ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 15, 2013

MSALABA MWEKUNDU TAWI LA KISUTU WAPATA MSAADA WA VITI VYA WANAFUNZI

Meneja Masoko wa Kampuni ya Palray watengenezaji wa fenicha mbalimbali, Thomas Simpokolwe kulia akimkabidhi mwanafunzi wa chama cha msalaba mwekundu tawi la kisutu, Grace Raphael sehemu ya msaada wa viti kwa ajili ya kusoma masomo mbalimbali ya uokoaji kulia ni Mwenyekiti wa msalaba mwekundu tawi la kisutu Bw.Rashid Mkawa 
Meneja Masoko wa Kampuni ya Palray watengenezaji wa fenicha mbalimbali, Thomas Simpokolwe kulia akisalimiana na wanafunzi wa msalaba mwekundu tawi la kisutu baada ya kuwakabidhi madawati
Meneja Masoko wa Kampuni ya Palray watengenezaji wa fenicha mbalimbali, Thomas Simpokolwe kulia akimkabidhi mwanafunzi wa chama cha msalaba mwekundu tawi la kisutu, Grace Raphael sehemu ya msaada wa viti kwa ajili ya kusoma masomo mbalimbali ya uokoaji kulia ni Mwenyekiti wa msalaba mwekundu tawi la kisutu Bw.Rashid Mkawa 
Wanafunzi wa Msalaba Mwekundu Tawi la kisutu wakisaidiana kubeba madawati waliyo kabidhiwa

1 comment:

Anonymous said...

Kaka yangu kama unauwezo wa kuedit habari kutoka kwa watu wengine please do, sasa Msaraba ndio nini jamani?? Hata Kiswahili chetu kinatushinda sasa KiInglish si ndio balaa kabisa!!