ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 13, 2013

NDEGE YAANGUKA ARUSHA NA KUUA RUBANI- LUKAZA

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA NDEGE ILIYOKUWA INAMILIKIWA NA WAKILI MAARUFU MAREHEMU NYAGA MAWALA ALIYEFARIKI WIKI 3 ZILIZOPITA NA KUZIKWA HUKO NAIROBI IMEANGUKA IKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUTUA (FINAL APPROACH) KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA ARUSHA.

Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani peke yake anayejulikana kwa jina la Jamal B S, au maarufu kama Bob Sambeke aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro.

Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.

1 comment:

Anonymous said...

At least justice has been served!
The atrocities which this gentleman committed is serious. I don't need to explained here but he deserved what happened to him. Ni vizuri daima kuwa vigilante muda wote kwa sababu hatujui saa wala siku. Hata hivyo RIP B.S.