Wanafunzi wakifuatilia jambo kwenye darasa la lugha ya kiswahili linalofanyika kila Jumamosi College Park ikiwa sasa ni wiki ya nne tangia darasa hili lianze na kesho Jumapili April 14, 2013 Vijimambo itawawekea video ya maendelea ya watoto hawa na kitu gani walichojifunza kwa wiki hizo nne ikiwemo ujumbe wa wa Rais wa Watanzania Dmv, Bwn Iddi Sandaly kwa wazazi.
Mwalimu akiendelea na darasa College Park, Maryland.
Watoto wakifuatilia jambo
Mwalimu akiwaelekeza jambo wanafunzi wake.
Darasa lingine likiendelea
Juu na chini ni wanafunzi wa darasa la lugha ya kiswahili wakiimba wimbo wa Taifa
1 comment:
nakumbushia tu kuwa tunapoimba wimbo wa Taifa tunapaswa kusimamaje?
Post a Comment