Picha ya Mama yake Gallus Bohella Marehemu Mama Elina Petro Bohella aliyefariki Dar Es Salaam, Tanzania March 25, 2013 na leo Jumamosi April 13, 2013 kufanyika misa ya kumuombea mpendwa wao iliyofanyikia White Oak, Maryland. katika kanisa la kilutheri la Mt. Stephen.
Mchungaji Anne Dwiggins akiongoza misa hiyo.
Mongozaji wa ratiba ya misa hiyo Bwn. Magoma akiongea jambo.
Wafiwa wakifuatilia misa.
Gallus Bohella na mkwe wakiwa kwenye misa ya mpendwa wao
Wafiwa wakifuatilia misa
Mke wa Gallus, Teddy akilia baada ya misa huku akitambaa na kuashukuru watu waliofika kwenye misa hiyo.
Ndugu, jamaa na marafiki wakimtuliza.
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment