ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 23, 2013

TASWIRA YA RAIS JAKAYA KIKWETE NA WAZIRI BERNARD MEMBE


Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kitaifa Mh. Bernard Membe muda mfupi baada ya kufungua mkutano  wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika jana  jijini Dar es Salaam, ambacho ni kikao cha  368 na  katika ajenda zake  pia kitazungumzia mgogoro wa Madagascar.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments: