Katika kuitikia wito wa taasisi ya wanawake na maendeleo -WAMA kwa kushirikiana katika kuboresha afya ya uzazi kwa mama na mtoto,kampuni ya Montage limited ya jijini Dar es salaam imemkabidhi mwenyekti wa WAMA mama Salma Kikwete hundi ya shilingi milioni 70 kama mchango wake wa kuunga mkono jitihada za taasisi hiyo.
No comments:
Post a Comment