Jide anafikiria kwenda kuomba uraia huko ama MALAWI katika kuonekana kutaka kujinasua kutoka katika jambo fulani ...
Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtandao wa kijamii wa twitter na kuandika @JideJaydee "Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?...
Ni nani atamfuata?? Je ni kuhusu ugomvi wake ulioibuka hivi karibuni ??
2 comments:
Hama,utujulisha uko wapi tuje tukuvisit!!! All da best!
Usihame utawapa kichwa watajua umewaogopa hiyo ni nchi yako wala usame.
Post a Comment