Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya gari, la polisi kufuatia mwili huo kutenganishwa vibande viwili
kwa picha zaidi bofya read more
kwa picha zaidi bofya read more
Sehemu aliyochinjiwa mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina Mika Athumani.
Akihojiwa na audifacejackson blog mmiliki wa baa hiyo Bw Salvatory Mushi alidai kwamba majambazi hao walimvamia mlinzi wake na kumchinja na baadae walivunja Counter ya baa hiyo pamoja na duka ililipojirani na baa hiyo na kuiba vitu mbali mbali.Alipoulizwa kwamba kuna taarifa zinadai kwamba mlinzi huyo alikutwa akiwa amelala Bw Mushi alisema"endeleakupitia audifacejackson blog, inawezekana lakini hakuna mtu mwenye uhakika na jambo hilo kwani sote hatukuwepo,wakti tukio hilo linatokea"alisema Bw Mushi ambaye anadai bado hajafahami dhamani ya vitu vilivyoibikiwa na majambazi hayo.
Mwananachi akishuhudia damu ya mlinzi huyo kwa hudhuni
Baskeli ya Mlizni huyo ikiwa imetapakaa damu ambapo inadaiwa mlinzi huyo alikuwa amelala kwenye eneo hilo
Majaira ya saa 12 asubuhi ya leo wananchi walishuhudia maduka mawili ya baa hiyo yakiwa wazi huku mwili wa mlizni huyo umekutwa upande wa baa ukiwa umechinjwa na kutenganishwa kichwa na mwili
Umati wa watu ukishuhudia tukio hilo muda mfupi uliopita
Wananchi nao waliondoka eneo hilo la tukio
Mmili wa baa hiyo Bw Salvatory Mushi akihojiwa na waandishi wa habari eneo la tukio
Majirani wa eneo hilo wakihojiwa na waandishi wa habari
Baadhi ya watu waliokuwepo eneo hilo la tukio walidai kwamba mlinzi huyo alikuwa amelala hivyo majambazi hayo yalimvamia na kumpora siraha zake na kishi kumchinja shingoni," siumeona alikuwa amelala jirani na baiskeli yake ndio maana ameshindwa kupamabna nao hasa ukizingatia baa hii imejitenga iko peke yake hapa jirani na mto wa Morogoro"alisema Bw Maneo Mashani.
Mtandao huu ulishuhudia mtoto wa marehemu pamoja na mjukuu wa marehemu wakiangua vilio eneo la tuko baada ya kuuona mwili wa mzazi wao aliyeuwawa kikatili baadae wote wawili walipanda gari la polisi na kuondoka nao.
2 comments:
You guys need to step up and stop posting graphic images on this blog. Children are watching this stuff
kazi kweli ipo bongo kweli kunakalika tukirudi tulio majuu kwa style na design hizi za kuripuwana halafu kuchinjana, tumewakaribisha watu walio toka katika nji zao walio zoea vita kila leo ndo maana yanatukuta sasa ustaarabu na utamaduni wetu wa kitanzania si huu wa kuchinjana na kuripuwana wanatuharibia tulioawakaribisha na kuwapa urai dezo dezo sasa yanatutokea puani wenyewe na umasikini wetu wakuuza nji yetu kwa wageni tumlaumu nani kama si sisi wenyewe bora tubanishe huku huku majuu hakuna unyama kama huu na kama ukiwepo uchunguzi wa hali ya juu wanaufanya na kuwa makini sana
kazi kurudi nyumbani tukaeni huku huku majuu watanzania mpoo mnaniuga mkono
poleni ndugu na jamaa na marafiki wa muhusika aliyepata madhara haya etc
UMANGANI UEA
Post a Comment